Kiigwe
Kiigwe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waigwe. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiigwe imehesabiwa kuwa watu 47,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiigwe iko katika kundi la Kiedoidi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiigwe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiigwe Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiigwe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/igw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiigwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |