Kiija-Zuba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waija na Wazuba upande wa Kusini wa Abuja. Idadi ya wasemaji wa Kiija-Zuba haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, lugha ya Kiija-Zuba haijaainishwa zaidi ya kuwa ndani ya kundi la Kibenue-Kongo.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiija-Zuba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.