Kiijo-Mashariki

Kiijo-Mashariki (pia Kinembe) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wanembe na Waakassa. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kiijo-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 71,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiijo-Mashariki iko katika kundi la Kiijoidi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiijo-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.