Kiika ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waika. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiika imehesabiwa kuwa watu 22,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiika iko katika kundi la Kiigboidi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiika kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.