Kiiku-Gora-Ankwa (au Kiiku kwa kifupi) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waiku, Wagora na Waankwa. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiiku-Gora-Ankwa imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiku-Gora-Ankwa iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiiku-Gora-Ankwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.