Kiili-Turki ni lugha ya Kiturki nchini Uchina na Kazakhstan inayozungumzwa na Wauzbeki. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kiili-Turki nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 120 tu. Pia kuna wasemaji 120 nchini Kazakhstan (2001). Wasemaji wote ni wazee lakini, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiili-Turki iko katika kundi la Kiturki ya Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiili-Turki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.