Kiilwana (pia Kimalakote) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wailwana. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiilwana imehesabiwa kuwa watu 16,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiilwana iko katika kundi la E70.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiilwana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.