Kiinabaknon
Kiinabaknon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wainabaknon kwenye kisiwa cha Capul. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiinabaknon imehesabiwa kuwa watu 26,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiinabaknon iko katika kundi la Kibarito.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiinabaknon kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiinabaknon Ilihifadhiwa 22 Januari 2019 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiinabaknon katika Glottolog
- lugha ya Kiinabaknon kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiinabaknon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |