Kiingereza cha Liberia
Kiingereza ya Liberia ni lugha ya pijini nchini Liberia. Ingawa idadi ya watu ambao wamejifunza Kiingereza ya Liberia kama lugha yao ya kwanza haijulikani, mwaka wa 1984 idadi ya watumiaji wa Kiingereza ya Liberia kama lugha ya biashara imehesabiwa kuwa watu milioni moja na nusu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiingereza ya Liberia kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiingereza ya Liberia Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiingereza ya Liberia katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lir
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiingereza cha Liberia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |