Kiirigwe
Kiirigwe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wairigwe. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kiirigwe imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiirigwe iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiirigwe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiirigwe Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiirigwe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/iri
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiirigwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |