Kiisebe ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waisebe. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiisebe imehesabiwa kuwa watu 910. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiisebe iko katika kundi la Kigum.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiisebe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.