Kiisekiri ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waisekiri. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiisekiri imehesabiwa kuwa watu 510,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiisekiri iko katika kundi la Kidefoidi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiisekiri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.