Kijajuu

Kijajuu au kijajuu cha ukurasa (kwa Kiingereza: header au page header) ni sehemu ya ukurasa ambayo ipo juu ya matini kiini. Kwa kawaida, kijajuu hutumika kukumbusha kichwa cha sura.

A: Kijajuu B: Kijachini.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).