Sura ya mvulana wa Venezuela.

Sura ni umbile kama vile la mtu au mnyama lililopo usoni, namna au jinsi ya kitu au ni hali ya mtu inayojitokeza usoni.

Kila mmoja ana sura yake maalumu, ambayo mara nyingi inasema juu ya tabia pia.