Kijiarong
Kijiarong ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wajiarong. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kijiarong imehesabiwa kuwa watu 83,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijiarong iko katika kundi la Kiqiangiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kijiarong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kijiarong Archived 8 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kijiarong katika Glottolog Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kijiarong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kijiarong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |