Kijiba
Kijiba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wajiba. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kijiba imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijiba iko katika kundi la Kijukunoidi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kijiba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kijiba Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kijiba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/juo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kijiba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |