Kijilbe ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wajilbe. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kijilbe imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kwa hiyo inawezekana kuwa lugha ya Kijilbe itatoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijilbe iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijilbe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.