Kijola-Kasa
Kijola-Kasa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wajola. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kijola-Kasa nchini Senegal imehesabiwa kuwa watu 45,100. Pia kuna wasemaji wengine nchini Gambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijola-Kasa iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikasa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikasa Ilihifadhiwa 16 Novemba 2013 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikasa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/csk
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kijola-Kasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |