Kijur-Modo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wajur-Modo. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kijur-Modo imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijur-Modo iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijur-Modo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.