Kikacipo-Balesi
Kikacipo-Balesi ni lugha ya Kinilo-Sahara inayozungumzwa na makabila matatu, yaani Wakacipo nchini Sudan Kusini na Wazilmamu na Wabaale nchini Ethiopia. Idadi ya wasemaji wa Kikacipo-Balesi imehesabiwa kuwa watu 9120, yaani 5000 nchini Sudan Kusini (2010) na 4120 nchini Ethiopia (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikacipo-Balesi iko katika kundi la Kisurmi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikacipo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikacipo Ilihifadhiwa 24 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikacipo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/koe
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikacipo-Balesi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |