Kikadara
Kikadara ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakadara. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kikadara imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikadara iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikadara kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikadara Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikadara katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kad
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikadara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |