Kikafa ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wakafa. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikafa imehesabiwa kuwa watu 834,000. Labda kuna wasemaji wachache nchini Sudan Kusini. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikafa iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikafa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.