Kikaike ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wakaike. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikaike imehesabiwa kuwa watu 50 tu, yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikaike iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaike kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.