Kikairak ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakairak. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kikairak imehesabiwa kuwa watu 900. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikairak iko katika kundi la “East New Britain”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikairak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.