Kikakwa
(Elekezwa kutoka Kikakwa (lugha))
Kikakwa ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda, Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakakwa. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikakwa nchini Uganda imehesabiwa kuwa watu 130,000. Pia kuna wasemaji 40,000 nchini Sudan Kusini na 20,000 nchini Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikakwa iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikakwa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikakwa Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikakwa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/keo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikakwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |