Kikalabari ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakalabari. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kikalabari imehesabiwa kuwa watu 258,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalabari iko katika kundi la Kiijoidi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikalabari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.