Kikamasa
Kikamasa ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakamasa. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikamasa imehesabiwa kuwa watu saba tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamasa iko katika kundi la Kiangan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikamasa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikamasa Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikamasa katika Glottolog
- lugha ya Kikamasa kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikamasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |