Kikambaata ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wakambaata. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikambaata imehesabiwa kuwa watu 615,000; ndani ya idadi hiyo kuna wasemaji wa Kikambaata kutoka kwa makabila ya Watimbaro na Wadonga ambao wamebadili lugha yao. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikambaata iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikambaata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.