Kikanggape ni lugha ya Kiramu na Kisepik ya Chini nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakanggape. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kikanggape imehesabiwa kuwa watu 1080. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikanggape iko katika kundi la Kitanggu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanggape kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.