Kikaniet
Kikaniet ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Wakaniet. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kikaniet tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaniet iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikaniet kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaniet Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikaniet katika Glottolog
- lugha ya Kikaniet kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaniet kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |