Kikaningkom-Nindem
Kikaningkom-Nindem ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waninkyob na Wanindem. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kikaningkom-Nindem imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaningkom-Nindem iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikaningkom kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaningkom Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikaningkom katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kdp
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaningkom-Nindem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |