Kikankanaey
Kikankanay (au Kikankanaey) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wakankanay. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kikankanay imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikankanay iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikankanay kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikankanay Ilihifadhiwa 9 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikankanay katika Glottolog
- lugha ya Kikankanay kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikankanaey kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |