Kikanufi
Kikanufi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakanufi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikanufi imehesabiwa kuwa watu 10,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikanufi iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikanufi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikanufi Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikanufi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kni
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikanufi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |