Kikaragas (au Kitofa) ni lugha ya Kiturki nchini Urusi inayozungumzwa na Wakaragas. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikaragas imehesabiwa kuwa watu 93 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaragas iko katika kundi la Kiturki ya Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaragas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.