Kikarami ilikuwa lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Wakarami. Tangu miaka ya 1950 hakuna wasemaji wa Kikarami tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarami iko katika kundi la Kiminanibai.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikarami kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.