Kikaramojong
Kikaramojong ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Uganda inayozungumzwa na Wakaramojong. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikaramojong ilihesabiwa kuwa watu 260,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaramojong kiko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
hariri- Lugha ya Kikaramojong kwenye Multitree
- Makala za OLAC kuhusu Kikaramojong Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- Lugha ya Kikaramojong katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kdj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaramojong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |