Kikarata ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wakarata. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikarata imehesabiwa kuwa watu 260 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarata iko katika kundi la Kiandiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikarata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.