Kikarawa ni lugha ya Kisepik nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakarawa. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikarawa imehesabiwa kuwa watu 63 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarawa iko katika kundi la Kiram.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikarawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.