Kikare (Afrika)
Kikare ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wakare. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kikare nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 93,000. Pia kuna wasemaji 4460 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikare iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikare kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikare Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikare katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kbn
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikare (Afrika) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |