Kikarko ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wakarko. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kikarko imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikarko iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikarko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.