Kikaro ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wakaro. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Ki imehesabiwa kuwa watu 1480 tu, maana yake lugha hiyo iko hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaro iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.