Kikaron ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal na Gambia inayozungumzwa na Wakaron. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikaron nchini Senegal imehesabiwa kuwa watu 9000. Pia kuna wasemaji 6000 nchini Gambai. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaron iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaron kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.