Kikasanga ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea-Bisau inayozungumzwa na Wakasanga. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikasanga imehesabiwa kuwa watu 690 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikasanga iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikasanga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.