Kikatabaga
Kikatabaga ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino iliyozungumzwa na Wakatabaga. Hakuna wasemaji wa Kikatabaga siku hizi, yaani lugha imetoweka kabisa. Tena uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi haujulikani.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikatabaga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikatabaga Ilihifadhiwa 16 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikatabaga katika Glottolog
- lugha ya Kikatabaga kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikatabaga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |