Kikatla
Kikatla ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Wakatla. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kikatla imehesabiwa kuwa watu 14,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikatla iko katika kundi la Kikordofani.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikatla kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikatla Archived 29 Machi 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikatla katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kcr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikatla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |