Kikavalan
Kikavalan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Wakavalan. Mwaka wa 2007 idadi ya Wakavalan imehesabiwa kuwa watu 1000 lakini kulikuwa na wazee 24 tu ambao wangeweza kuongea lugha ya Kikavalan, yaani lugha yao imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikavalan iko katika kundi la Kiformosa-Mashariki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikavalan kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikavalan Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikavalan katika Glottolog
- lugha ya Kikavalan kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikavalan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |