Kikeiga ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wakeiga. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kikeiga imehesabiwa kuwa watu 6070. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikeiga iko katika kundi la Kikadugli-Krongo.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikeiga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.