Kikelo ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wakelo. Idadi ya wasemaji wa Kikelo imehesabiwa kuwa watu 200 tu yaani lugha imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikelo iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikelo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.