Kikeoru-Ahia ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakeoru, Waahia na Wapairi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikeoru-Ahia imehesabiwa kuwa watu 5970, yaani Wakeoru 5070, Waahia 710 na Wapairi 190. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikeoru-Ahia iko katika kundi la Kieleman.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikeoru-Ahia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.