Kikerak
Kikerak ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Wakerak. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikerak imehesabiwa kuwa watu 13,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikerak iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikerak kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikerak Archived 3 Machi 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikerak katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/hhr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikerak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |